Pages

Tuesday, August 20, 2013

FEZA KESSY AKARIBISHWA NYUMANI LOUNGE

Msanii maarufu nchini, Lady Jay dee maarufu kama Komando akitumbuizaMsanii maarufu nchini, Lady Jay dee maarufu kama Komando akitumbuiza na bendi yake ya machozi bendi katika hafla ya kumkaribisha aliyekuwa mwakilishi wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy.Hafla iliyofanyika maeneo ya nyumbani Lounge kwa udhamini mkubwa kabisa wa Airtel na DSTV. 

Msanii maarufu wa kundi la Machozi Band, Lady Jay dee aliyesimama pembeni akimtambulisha kwa washibiki wake Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy
Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy akisalimiana na mashabiki wake waliojitokeza katika halfa ya kumkaribisha nyumbani iliyofanyika Nyumbani lounge
Aliyekuwa mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy akiwa pamoja na Vanesa Mdee wakati wa hafla ya kumkaribisha nyumbani iliyofanyika katika ukumbi wa nyumbani lounge na kudhaminiwa na DSTV na Airt 

No comments:

Post a Comment