Pages

Monday, August 19, 2013

CHELSEA YAIFUNGA HULL CITY 2- 0, OSCAR NA FRANK LAMPARD WAMKARIBISHA JOSE MORINHO

Mashabiki wa Chelsea wakifurahia na kumkaribisha kwa mara nyingine tena kocha wao Jose Mourihno. Karibu sana mkuu....karibu kwako!Mashabiki wa Chelsea wakifurahia na kumkaribisha kwa mara nyingine tena kocha wao Jose.Asante... nami nawapenda..Jose akiwapungia mkono mashabiki uwanjani captain John Terry akiongoza timu Oscar scores ndiye aliyewafungulia bao la kwanza Chelsea baada ya kuwatoka mabeki wa Hull City usiku huu katika dakika ya 13.

Easy does it: Oscar celebrates scoring the opening goal
Oscar akishangilia baada ya kutupia nyavuni na kufanya 1-0 dhidi ya Hull City.midfielder Frank Lampard akifunga bao la pili.Frank Lampard akipongezwa John Terry wa Chelsea akimkaba Yannick Sagbo wa Hull CityFernando Torres akitupwa chini Kipa wa Hull City Allan McGregor akiokoa mpira hapa huku Branislav Ivanovic na John Terry wakiwa wamenyemelea!No goal: GDS said Branislav Ivanovic's header didn't cross the line
No goal: GDS sai Ivanovic's effort didn't cross the line
Bruce
Bruce kocha Hull City kushoto na kulia ni 'the special one'
VIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Lampard, Ramires, De Bruyne (Schurrle 67), Oscar (van Ginkel 85), Hazard, Torres (Lukaku 75)
Subs not used: Essien, Mata, Ba, Schwarzer
Goals: Oscar 13, Lampard 25
Hull City: McGregor, Elmohamady, Chester, Davies, Figueroa, Brady, Meyler (Huddlestone 59), Koren, Sagbo, Graham (Livermore 59), Aluko (Boyd 79)
Subs not used: Rosenior, Bruce, McShane, Harper
Bookings: Meyler
Attendance: 41,374
Referee: Jon Moss

No comments:

Post a Comment