Pages

Saturday, August 17, 2013

ARSENAL YAFUNGWA NA ASTON VILLA MABAO 3-1

  

Timu Arsenal leo wameanza vibaya  Msimu mpya wa 2013/2014 wa Ligi Kuu England kwakutandikwa Nyumbani kwao Emirates Bao 3-1 na Aston Villa na pia kujikuta wakimaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada ya Sentahafu wao Laurent Koscielny kutolewa kwa Kadi Nyekundu kufuatia Kadi za Njano mbili.
Arsenal ndio waliotangulia kufunga kwa Bao safi la Olivier Giroud lakini Aston Villa wakachachamaa na Christian Benteke alifunga Bao mbili kwa Penati na la tatu kufungwa na Mchezaji mpya Antonio LunaChristian Benteke akifunga bao la pili Mashibi wa Aston Villa wakishangilia...Santi Cazorla na  Fabian Delph kulia wakichuana hapa kuugombania mpira.Bradley Guzan akizuia mpira dhidi ya Tomas Rosicky
Benteke akishangilia hapaGabriel Agbonlahor akikwatuliwa na kipa  Wojciech Szczesny na kuruka juuPatashika hapa...
Controversy: Santi Cazorla, Per Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony Taylor has awarded a second penalty
Santi Cazorla, Per Mertesacker na Wojciech Szczesny wakiachwa kwenye mataa na huku wakiwa awaamini macho yao kutoka kwa refa Anthony Taylor baada ya kuwapa penati nyingine.
akipata matibabu ya haraka baada ya kupata matatizo kichwani Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann
Mchezaji wa Arsenal Kieran Gibbs akigala gala chini hapa baada ya kugongana kichwa na  Andreas WeimannMzee Wenger akiangalia timu yake uwanjani huku mambo yakiwa magumu Olivier Giroud akishangilia na wachezaji wenzie  Aaron Ramsey, Tomas Rosicky na Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kufunga baoOlivier Giroud akishangilia hapa!
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny 4; Sagna 5 (Podolski 90), Koscielny 5, Mertesacker 5, Gibbs 5 (Jenkinson 28, 5); Wilshere 6, Ramsey 5, Rosicky 6; Walcott 6, Chamberlain 6 (Cazorla 46, 5); Giroud 6. Subs not used: Fabianski, Frimpong, Gnarby, Sanogo.
Sent Off: Koscielny (67).
Booked: Szczesny, Wilshere, Koscielny, Cazorla.
Goals: Giroud 6.

Villa: Guzan 7, Lowton 7, Vlaar 7, Baker 6 (Clark 17, 7), Luna 7; El Hamadi 7, Westwood 7, Delph 8; Agbonlahor 7, Weimann 8 (Bacuna 88); Benteke 8 Subs not used: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev.
Booked: Vlaar, Luna, Benteke, Westwood, Agbonlahor.
Goals: Benteke 22, 61 pen, Luna 85.
Att: 60,003
Ref: Anthony Taylor (Cheshire).
MOM: Benteke
Ref: Anthony Taylor - 4 


MATOKEO:
Jumamosi 17 Agosti
Liverpool 1 vs Stoke City 0
Arsenal 1 vs Aston Villa 3
Norwich City 2 vs Everton 2
Sunderland 0 vs Fulham 1
West Bromwich Albion 0 vs Southampton 1
West Ham United 2 vs Cardiff City 0

No comments:

Post a Comment