![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxZHFrjUNVgyyaoogxpbS64MChX3_6g_-6OKFmJ1rRKc62VsnFR3aJltkCs5EpA9dsBC19nQQglsoG0aRe0m8ExA3YH9Be0e6y1oxI66jkUwctEoANEGziHGNjyT9vwlIFDal1lTkZNCs/s640/fulham.jpg)
Al Fayed mwenye umri wa miaka 84, aliinunua Fulham mwaka 1997 na kuifanya klabu hiyo kuwa moja ya klabu bora katika ligi kuu ya soka nchini England tangu mwaka 2001.Billionaire Khan ambaye ana umri wa miaka 62 kwasasa ameinunua klabu hiyo kutoka kwa Al Fayed ambapo amenukuliwa akisema klabu hiyo ni sehemu muafaka na eneo muhimu kwa wakati muafaka.
Mzaliwa huyo wa Pakistan alielekea nchini Marekeani wakati akiwa na umri mdogo wa miaka 16 na kuanza kujishughulisha na biashara ya spea za magari.Baadae akawa mmiliki wa timu ya NFL ya Jacksonville Jaguars mwezi Desemba mwaka 2011 na sasa anakuwa mmiliki wa sita wa klabu kubwa nchini England inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini humo Premier League.
Fulham ilifikia katika hatua ya fainali ya michuano ya Europa chini ya meneja Roy Hodgson mwezi Mei mwaka 2010, ambapo walifungwa katika fainali na Atletico Madrid.Msimu uliopita ilikuwa chini ya meneja Martin Jol ambapo ilimaliza katika nafasi 12
Real Madrid yamsajili Asier Illarramendi kwa ada ya pauni milioni 34 akitokea Real Sociedad
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4Kiez8aR8RHS_aPr-vLcSkTIE39VIar02QM3mLe5PNFRFjXgkvtmZN7g5PalIHcTS5OFw_6qZjHX-s56z3CeHdbur1FXQjZ5VQ516gE0Ssr8ZCl16HBBHdWnqSZi0wprf5SKTiEMSmRg/s640/madrid.jpg)
Alessandro Nesta aponda ligi kuu ya Italia
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKYYFcYWa8SAPbLp7VTxeb4C-aenOwO2dOkzm8lZFSPpT30u0MzosYhztfGRDBs9d0AxDULjjP19UXUC-jBLlcGW4R4shSiCXOf4-nDGESydsnL-I2jta5r7atJ0FwrlVVi0H9QqbHyJ4/s640/italia.jpg)
No comments:
Post a Comment