Pages

Wednesday, June 5, 2013

UNAJUA UTAJIRI WA DIAMOND PLATNUMZ? SOMA HABARI HII UJUE PIA MAMBO KUMI YANAYOMHUSU DIAMOND


d8fdca7eccf211e2a7ed22000a1f8f24_7
1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.

2. Yupo kwenye mazungumzo na promota wa Rwanda kufanya shoo moja ya uwanjani ambayo   anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 190 kwa shoo

3. Malipo ambayo hupokea kwa shoo zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000.

4. Tangu mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya shilingi milioni 100.

5. Anamiliki nyumba kadhaa ambazo amepangisha.

6. Wimbo Mawazo alimwandikia Jacqueline Wolper ambaye alikuwa mpenzi wake.

7. "Kamwambie na Mbagala" alimwimbia mpenzi wake aitwaye Sarah aliyemkataa (Diamond) sababu hakuwa na uwezo.

8. "Ukimwona" alimwandikia Wema Sepetu baada ya kumsaliti.

9. Ili kuvunja mkataba na aliyekuwa meneja wake Papa Misifa, ilibidi amlipe shilingi milioni 18.

10. Ana timu (anayoilipa mshahara) ya watu zaidi ya 12 wakiwemo dancers, mtu wa mavazi, msaidizi wake, wapiga picha wawili.

No comments:

Post a Comment