Pages

Wednesday, June 5, 2013

MCHEKI M 2 THE P AKICHANGAMSHWA ILI KUMPOTEZEA MAWAZO

M2 the P alipotembelewa na huyu sister anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitali
M2 the P alipotembelewa na huyu dada anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitaliMsanii M2 the P aliyekutwa mahuhuti pamoja na Ngwair ambaye alifariki, anaendelea vizuri kiafya na ameshatoka hospitali. Mpaka sasa M To The P hajui kama Mangwea amefariki na anadhani mwenzake ametangulia kwenda Dar es Salaam.
m2-the-p-0

m2-the-p-1

"Hapo Magie anamtania ikabidii amyeyushe eti ukirudi bongo mwambie Mangwea nina case nae yakuondoka bila kuniaga. Dah so so sad"- Jestina George
“Hapo Magie anamtania ikabidi amyeyushe eti ukirudi bongo mwambie Mangwea nina case nae yakuondoka bila kuniaga. Dah so so sad”- Jestina George
m2-the-p-3


Kwa mujibu wa Jestina George, Magie amekuwa karibu sana na M2 The P na alikua karibu na marehemu Albert “Ngwair” Mangwea kwa muda waliokuwa Africa Kusini. kama inavyoonekana pichani, leo Magie alienda kumcheki M2 The P, kumpa moyo na kumchangamsha. Alipo fika alimkuta M2 The P amejawa na mawazo huku kikombe chake cha chai kiko mezani ikabidii aanze kumtania tania angalau aondokane na mawazo. Bado anamuuliza rafiki yake kipenzi Mangwea maana hajui yaliyo mfika. Tuendelee kumuombea M2 The P maana ana mtihani mkubwa mbele yake akija kujua ukweli, na ni Mungu pekee ndo ataweza kumsaidia

No comments:

Post a Comment