Pages

Monday, June 10, 2013

SWAHILI MOVIE CHANNEL YA ZUKU TV YAZINDULIWA JIJINI ARUSHA

Warembo walikuwepo kupamba show nzima ya Zuku Swahili Channel

Waigizaji wa kundi maarufu la jijini Arusha wakila pozi

Waratibu wakiweka mambo sawa

Wadau hawakuwa nyuma kujua Zuku imewaleta mambo gani mapya

Wadau wa tasnia ya filamu wakisikiliza kwa makini

Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akimwaga sera juu ya ubora wa king'amuzi katika mpango wa Zuku Pay TV

King Majuto(kati)akiteta jambo na Maria Sarungi wakati wa uzinduzi katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha

King Majuto hakuacha vituko kama kawaida yake

Kama kawaida yake wadau walikua hoi kwa vicheko vya mkongwe wa sanaa ya vichekesho




Waandisi wa habari wakiwa wanasikiliza kwa makini jinsi Zuku waliyoboresha huduma zao na kuleta zuku swaihili movie chanel



























No comments:

Post a Comment