Pages

Saturday, June 1, 2013

PICHA ZA HUKO MOROGORO ZA MAANDALIZI YA KUPOKEA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

 Msemaji wa familia hiyo Bw Daniel Mangwea ambaye ni baba mdogo wa marehmu Albert akizungumza na Mwandishi wa blog leo asubuhi.

Familia ya marehemu Albert Mangwea imedai kwamba kwa sasa wana upungufu wa viti na maturubai hivyo mtu yoyote mwenye vitu hivyo anaombwa kuvipeleka nyumbani kwa mama mzazi wa msanii huyo Kihonda Mazimbu Road.

 Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mama mzazi wa Albert Mangwea Bi Denisia Mangwea.

 Padre wa kanisa katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica Kihonda, Fr Octavian Msimbe ambaye ndiye anayetarajiwa kuongoza misa ya mwisho ya marehemu Albert Mangwea.
 Pilika pilika za maandalizi ya kupokea mwili wa Albert Mangwea zikiendelea kwa sasa nyumbani kwao Kihonda Mazimbu Road
HAPA ndipo nyumbani kwa marehemu mzee Keneth Mangwea Kihonda Mazimbu Road mkoani Morogoro ambako mwili wa Albet  Mangwea  utapunzishwa hapa kabla ya kwenda kuzikwa 

Habari hii ni kwa hisani ya Lewis Mbonde blog

No comments:

Post a Comment