Pages

Saturday, June 8, 2013

MANCHESTER CITY YAMSAJILI FERNANDINHO KWA PAUNDI MILIONI 30


Big move: Fernandinho arrives at the club for a fee of £34m from Shakhtar
Fernandinho awasili City kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni £34 akitokea Shakhtar
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akitaka kuchezea  klabu ya Shakhtar inayoshiriki ligi kuu ya nchini England Barclays Premier League kwa lengo la kupata nafasi zaidi kujiweka fiti na kuingia katika kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kitakacho kuwa wenyeji wa kombe la dunia mwakani 2014 na anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na City katika majira ya kiangazi.

Amenukuliwa akisema 
'Hili ni badiliko, changamoto na nafasi niliyokuwa nikiisubiri kwa muda mrefu, kwani kucheza Premier League katika klabu kama City ni kama ndoto.
On the dotted line: New signing Fernandinho with Chief Executive Ferran Soriano
Fernandinho akianguka wino mbele ya mtendaji mkuu wa City Ferran Soriano
On the dotted line: New signing Fernandinho with Chief Executive Ferran Soriano
'Nia yangu ni kushinda mataji yote kwani timu hapa ni nzuri na klabu ni kubwa na ina mashabiki.
 Kiuweledi hili ni jambo kubwa
On the bounce: Fernandinho becomes City's first signing of the summer, but Jesus Navas should follow soon
Fernandinho anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na City majira haya ya kiangazi lakini inaaminika kuwa Jesus Navas anafuata punde.

Kingo raia wa Brazil Fernandinho amesisitiza kuwa ana matumaini ya kushinda mataji yote akiwa na Manchester City baada ya kuanguka saini akitokea Shakhtar Donetsk kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 34.

No comments:

Post a Comment