Pages

Tuesday, June 11, 2013

LILIAN SOTI ATWAA TAJI LA REDD'S MISS KIGOMA 2013

Mrembo wa mkoa kigoma kwa mwaka 2013 Lilian Soti (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Faidha Hamisi (kulia) na mshindi wa tatu Hapiness Arbogast (kushoto) muda mfupi baada ya shindano hilo.

Msanii wa hiphop nchini Haruna Kahena (Inspekta Harun) wa pili kulia akiwa katika picha
ya pamoja na washindi watatu wa juu wa shindano la kumtafuta mrembo wa mkoa
Kigoma 2013 ambapo msanii huyo alitumbuiza.

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa Kigoma Deo Nsokolo (kulia) akimkabidhi
zawadi ya Digital Printer ya rangi mshindi wa shindano la Miss Kigoma 2013
Lilian Soti (kushoto).

No comments:

Post a Comment