Pages

Monday, June 10, 2013

GLORY STEPHEN ATWAA TAJI LA REDD'S MISS ARUSHA 2013 USIKU HUU

Mrembo aliyetwaa taji la Redd's Miss Arusha Glory Stephen akipungia watu waliokuja kuangalia kinyanganyiro hicho mara baada ya kutangazwa mshindi na  nafasi ya pili ikiwa imeshikiliwa na Nance Mushi

Mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Faustin Mwandago akiwapongeza warembo walioshinda kinyanganyiro cha Arusha na kuwaambia wote walioingia tano bora anawapa nafasi ya kushiriki kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini



mgeni Rasmi wa sherehe za kumsaka mlibwende wa Arusha (Redd's Miss Arusha)John Mongela katikati Afisa utamaduni wa jiji la Arusha akifuatia wa kwanza kulia ni mwandaaji wa Redd's Miss kanda ya kaskazini Mwandago

Warembo waliongia katika hatua ya tano bora Redd's Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutanganzwa wa shindi

No comments:

Post a Comment