Pages

Tuesday, June 4, 2013

CHEKI PICHA ZA NEYMAR AKIFANYIWA VIPIMO VYA AFYA BARCELONA, FAMILIA YAKE YAFURAHI KWENDA BARCA

Neymar
Neymar afaulu vipimo vya afya. 
Weight 10st 3lbs. Height 5ft 9in. Neymar ni mrefu kwa sentimita sita zaidi ya Messi lakini pia ni mwepesi kwa kilo mbili kwa Messi.
NeymarMshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil amejiunga sasa na akina Lionel Messi, Xavi, Andres Iniesta na Daniel Alves ndani ya klabu hiyo hali ambayo inaonekana kuamsha hamasa mpya kwa washambuliaji wakali wa America ya kusini ambayo wangetamani kuelekea barani ulaya NeymarNeymarNeymarNeymar
Neymar contract
Barcelona imesaini mkataba wa miaka mitano na mshambuliaji huyo mbele ya Rais wa klabu hiyo President Sandro Rosell.'
Neymar sister
Familia ya Neymar imefurahishwa na kuelekea kwa Neymar katika klabu ya Barcelona kama walivyotupia picha hapo chini ni dada yake akiwa katika jezi ya Barcelona.
Neymar's girlfriend
Pichani anaonekana mpenzi wake na Neymar Bruna Marquezine akiwasili Barca.

Quick bite: Neymar takes the opportunity to eat a meal before his official unveiling as a Barcelona player
Neymar akigonga menu kabla ya kutambulishwa.
Neymar and his father pose as the Brazilian star undergoes his medical
Neymar akiwa na baba yake wakipiga picha ya ukumbusho kabla ya kuanza zoezi la vipimo.
Check-up: Neymar looks relaxed as he undergoes the first part of his medical in a Barcelona hospital
Happy: Neymar posted this picture on Instagram expressing his delight at signing for Barcelona
Neymar akiposti picha yake kupitia Instagram akionyesha furaha yake ya kujiunga na Barcelona.
New kit: Neymar in Barcelona training gear for the first time
Neymar akiwa na uzi wa mazoezi wa Barcelona kwa mara ya kwanza.Good company: Neymar poses with Carles Puyol and Andres Iniesta What's all the fuss? A bus of tourists passes the swarm of supporters at the gates of the Nou Camp as they greet Neymar
Getini Nou Camp hali ilikuwa namna hii mashabiki na watalii wakimpa salam japo kwa mbali.
Wave away: The biggest arrival at Barcelona since a certain Argentine teenager?New kid on the block: Outside the Barcelona officesHizi ni baadhi ya picha wakati akiwasili Nou CampNeymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medicalNeymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medicalNeymar poses for the media after arriving in Barcelona for a medicalBehind bars: Fans clammer to get a sight of their new signingEager: Photographers line-up to take snaps of the new Barcelona starCentre of attention: Every photographer in Barcelona will be at the Nou Camp

No comments:

Post a Comment