Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, June 27, 2013

CARLOS TEVEZ ATUA JUVENTUS, SCHÜRRLE ANUKIA CHELSEA!!!


Juventus wameafikiana na Manchester City kuhusu Uhamisho wa Carlos Tevez na huko Stamford Bridge tayari Straika wa Germany, André Schürrle, amekamilisha Uhamisho wake kutoka Bayer Leverkusen. 


Maafisa wa Klabu za Juventus na Manchester City leo walifikia makubaliano ya Uhamisho wa Carlos Tevez kutoka City kwenda Juve kwa Dau la Pauni Milioni 10.

Tevez, mwenye Miaka 29, Jumatano anatarajiwa kwenda Italy kupimwa afya yake na kujadili Maslahi binafsi.

Uhamisho wa Tevez umekamilika, hivyo Man City wamebaki na Mastraika wawili tu, Sergio Aguero na Edin Dzeko, na ni dhahiri lazima watafute Wachezaji kujaza nafasi hizo.
Carlos Tevez alijiunga na Man City Julai 14, Mwaka 2009 kwa Dau la Pauni Milioni 47 kutoka Man United na kusaini Mkataba wa Miaka mitano na ameichezea City Mechi 148 na kufunga Bao 74.

Hapo hapo
André Schürrle, Fowadi toka Klabu ya Germany Bayer Leverkusen, amekuwa Mchezaji wa kwanza kununuliwa chini ya himaya ya Meneja mpya Jose Mourinho.
Mjerumani huyo mwenye Miaka 22 atavaa Jezi Nambari 14 na tayari amesaini Mkataba wa Miaka 5 kuichezea Chelsea.




ANDRE SCHURRLE became the first signing of Jose Mourinho’s second coming — then revealed he watched every Chelsea game last season.

The £17million forward, 22, joined from Bayer Leverkusen. He said: “I saw lots of Chelsea. I wanted to come here so I think I watched every single game.

“I’m really looking forward to working with Mourinho. I got to know him at Michael Ballack’s testimonial a few weeks ago where we talked a little bit.
“He gave me advice on where to live and also explained what he expects from me.
“He’s a very good person with a big personality.
“He’s a great manager so it’s an absolute honour for me to now be one of his players.”
Schurrle, who can play as a creative wide player or central striker, has signed a five-year deal.
He said: “We have a great team with some very talented young players. Under Mourinho I’m confident we can have a really great season.
“For this club, winning titles is always the main objective and I hope to play a big part.”

The Germany international is also looking forward to linking up with Petr Cech, John Terry, Frank Lampard and Ashley Cole.
He said: “I can learn many things from the older players.
“I’ve watched them play since I was a young boy, so it’s an honour for me now to be colleagues of theirs at Chelsea.” 

No comments:

Post a Comment