
Kikosi
cha Timu ya Banana Fc kilichoibuka kidedea leo kwenye bonanza
lililofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba na hatimaye timu ya Banana
kuibuka kidedea kwa kuichapa bao 1-0 timu ya Kahawa na hapa wakiwa
wanashangilia kwenye picha ya pamoja na wadau kwenye ufukwe wa Kiroyera
ziwa Victoria.

Timu ya Banana

Tumewachapa....tumewashindaaaa...bao 1-0

Kikosi cha Timu ya Kahawa wakati wa pmapumziko uwanjani kaitaba leo hii.

Wachezaji wa Kahawa wakiteta jambo wakati wa mapumziko.

Kikosi
cha Banana kilichoibuka kidedea kwa kuichapa bao 1-0 katika kipindi cha
pili na hapa ni mechi ilipoisha muda kidogo kabla ya kuelekea Kiroyera
Beach kupata kilichoandaliwa huko.

Kikosi cha Banana kikipata maelekezo kutoka kwa kiongozi

Viongozi wakicheki mtanange Kaitaba

Mashabiki

Raha ya soka...

Na sisi tulikuwepo!!!

Mashabiki wakiangalia mtanange katika bonanza la leo hii

Mwinyi akiwa anatoka uwanjani tayari kuelekea Kiroyera

Mtu na kaka yake Bwana...No Coment!!

Kiroyera Beach

Jembe likijuza japo kwa sms kuwa tayari Kiroyera na mambo yanendelea kuwa kama yalivyopangwa

Wachezaji wakijisevia hapa.........

Nikandamizie na mimi...

Mambo ya supu haya!!

Jamali a.k.a Jamco nae alishiriki kama mwanasoka upande wa timu ya Banana FC

Aliyesimama
ni mwanasoka wa Bukoba Veteran ambaye leo alicheza upande wa Timu ya
Banana Fc na hapa akipata supu na wadau mbalimbali

Kiroyera Beach samaki mwenyewe anajisogeza hapa...karibu!!

Kazi na dawa!!

wakiteta jambo hapa...

Upepo safi wa kiroyera beach ukipita hapa....

wakipeana majukumu ya hapa na pale

Wadau...Tafa Saidi akijisogeza kitaratibu kwa mdau wake wa siku nyingi

Moses
Inyama (farry ipupa) ambaye takribani wiki moja sasa karejea kutoka
nchini Denmark akifanya vitu vyake hapa kwenye ufukwe wa ziwa Victoria
(Kiroyera Beach) wazi wazi baada ya raha kumpanda kichwani

jamani.......njoooni .....jamaaa...

Fally Ipupa anajulikana kitaa...

Mara kaka mkuu akasogea...ikawa full!!!

Kulia ni Bw. Ernest nyambo akijisogeza kwa Fally Ipupa kuchuana vilivyo kama ilivyokuwa Kaitaba Stadium

Raha tujipe kaka....

Bonanza
hili litakuwa likifanyika kila mwezi taratibu ambazo bukobasports.com
imezipata kutoka kwa mratibu wa bonanza hilo na kumbuka Bonanza hili
linadhaminiwa na TBL.
Post a Comment