Pages

Saturday, June 1, 2013

BALOTELLI AHUSISHWA NA GENGE LA MIHADARATI, MWENYEWE ATOA MKWARA 'UKIRUDIA UTAONJA UCHUNGU WA MACHOZI YA MAMA YANGU'

Why always him? Mario just says no to drugs

Mchezaji huyo ambaye ni kivutio na pia alishawahi kuchezea Mannchester City wiki hii jina lake lilitafutwa lilimulikwa na  wauza madawa nguli wa  Cameroun likiongozwa  Armando De Rosa, ambaye anakiri  Balotelli alimuuliza biashara hiyo kwa utani katika mashtaka yake ya kutumia pesa chafu.

Hivi karibuni alitumia mtandao wa kijamii wa  Twitter aidha  Balotelli alijibu kwa kusema alikasirishwa katika mtandao huo, nakutweet : 'Labda ukiomba radhi bila hivyo utayaonja uchungu wa machozi wa mama yangu ujumbe ambao ulifutwa baadae.


Tuhuma hizo zilikuja baada ya ushindi dhidi ya  San Marino ijumaa usiku, lakini mshambuliaji huyo alikataa na kusema: "Ni uongo. Na nayachukia Madawa."
Aidha akiulizwa na mashabiki kwa aina ya ushangiliaji wake kwanini kila siku wewe aliwajibu sijui  'Why always you?', 'I don't know.'


Mario Balotelli ameshika vichwa vya habari wiki hii, pale mshambuliaji huyo wa Italia alipotuhumiwa kuhusika na biashara ya mihadarati akihusishwa na Genge la Kimafia.



No comments:

Post a Comment