Pages

Wednesday, May 15, 2013

YOUTH FOR AFRICA MSHINDI KUONDOKA NA KUONDOKA NA MILIONI 10 TASLIMU



Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Better Dayz Ltd Daniel Sarungi (katikati) akizungumzia tuzo za Youth of Afrika zitakazotolewa tarehe 25 Mei mwaka huu ambapo mshindi atapata zawadi ya shilingi milioni 10 na kuhimiza vijana kujitokeza kushiriki ili kutoa changamoto katika maisha ya sasa yanayowakabili vijana.

Pichani Juu ni Baadhi ya waremo watakaoshiriki shindano la Tuzo hizo.Picha ya chini Katikati ni Mwalimu wao.

No comments:

Post a Comment