Pages

Friday, May 3, 2013

WASANII WANAOWANIA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD 2013 WAPIGWA MSASA



Wasanii watakaopigiwa kura kwenye Tuzo za Kili Music Awar 2013 wakiwa kwenye semina iliyofanyika Dar es Salaam.

























 Mkubwa kutoka kundi la TMK wanaume Family akizungumza wakati wa semina hiyo
Mwansiti akiwa katika pozi baada ya semina kumalizika
Mama wa Mipasho, Mama Khadija Kopa akiwa katika Pozi la Picha
Mkurya wa kwanza kuimba taarabu Mama Mashauzi akiwa katika Pozi la Picha
Mtayarishaji wa nyimbo, Man Walter akizungumza wakati wa Semina hiyo.

                                                    Lina akiwa katika Pozi

No comments:

Post a Comment