Pages

Wednesday, May 22, 2013

TENGA KUTETA NA WAANDISHI WA HABARI KESHO



Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga atakuwa na mkutano na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika kesho (Mei 23 mwaka huu) saa 5 kamili asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF.

No comments:

Post a Comment