Pages

Monday, May 20, 2013

SHAMIM MOHAMED ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS MZIZIMA 2013



Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili,Munira Mabrouk (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rehema Mpanda.
Warembo wa Redd's Miss Mzizima walioingia katika hatua ya tano bora,wakiwa wamejipanga kusubiri kupatikana kwa mshindi.
Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kulia) akikabidhiwa hundi ya dola 450 kutoka kwa Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.
Wacheza shoo 

No comments:

Post a Comment