Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada
ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye
Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni
Mshindi wa Pili,Munira Mabrouk (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rehema Mpanda.
Warembo
wa Redd's Miss Mzizima walioingia katika hatua ya tano bora,wakiwa wamejipanga
kusubiri kupatikana kwa mshindi.
Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kulia)
akikabidhiwa hundi ya dola 450 kutoka kwa Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.
Wacheza shoo
No comments:
Post a Comment