Pages

Friday, May 10, 2013

DIVA NA RAPPER PREZZO MMMMMHHHHHH!!!



Taarifa zimesema kwamba Rapper wa nchini Kenya kwa sasa hivi yuko katika mahaba mazito na Mtangazaji wa kituo cha radio nchini Tanzania, namzungumzia Diva Loveness Love wa Ala za Roho, inasemekana mahusiano yao yalianza wiki za karibuni baada ya Prezoo kudondoka bongo na alialikwa kwenye kipindi cha Ala za roho ndipo picha zima lilipo anzia, kama utani wakaanza kutania taniana, sasa usiku wa tukio hawakufanikiwa kwenda out lakini namba zilibadilishwa pale, kilichofata baada ya hapo sasa Prezzo akataka kwenda mpaka kwa kina binti lakini akazuiliwa.

Baada ya kuchekiwa Diva, mwanadada akakataa madai hayo, na kudai kuwa yuko na boyfriend wake wa kitanzania na PREZZO ni mshikaji tu.
alipovutiwa wire PREZZO jamaa akajaa mzima mzimaaaa, na kutiririka ya moyoni kuwa ni kweli anampenda Diva na mipango mengine inafata.

No comments:

Post a Comment