Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Dayna Nyange ambaye anatarajia kutoa burudani ya muziki kwenye Miss Redd's Muleba na wasanii wengine kibao tarehe 31.05.2013. Ambaye analetwa kwenu na Kareen Fashion na Point View Pub kushirikiana na Jamco Video Production. Siku hiyo ya tarehe 31.5.13 patakuwa Hapatoshi Waisuka Hotel.
Karibuni sana...
Karibuni sana...
No comments:
Post a Comment