Pages

Saturday, May 25, 2013

CRISTIANO RONALDO AMPIKU LEWANDOSKI ATWAA KIATU CHA MFUNGAJI BORA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Cristiano Ronaldo ameibuka na kiatu cha dhahabu cha Uefa champions baada ya kufanikiwa kufunga magoli 12 msimu huu, hii inakuwa ni mara yake ya pili kushinda kiatu cha dhahabu kwenye michuano hii ya Uefa champions.
Pos.PlayerGoalsTeam
1Cristiano Ronaldo12Real Madrid
2Robert Lewandowski10Borussia Dortmund
3Burak Yilmaz8Galatasaray
3Thomas Müller8Bayern Munich
3Lionel Messi8FC Barcelona
6Alan5Sporting Braga
6Jonas5Valencia CF
6Oscar5Chelsea
6Karim Benzema5Real Madrid
6Ezequiel Lavezzi5Paris Saint-Germain

Kumi bora ya wafungaji wa Uefa champions msimu huu 


No comments:

Post a Comment