Pages

Saturday, May 25, 2013

BAYERN MUNICH YATWAA UBINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUIFUNGA BORUSSIA DORTMUND 2-1


Bayern Munich ndiyo mabingwa wa 2013 baada ya kuwafunga Borussia Dortmund bao 2-1 bao la ushindi likifungwa na Arjen Robben dakika ya lala salama (dakika ya 89) Huku akiweka Historia baada ya kukosa penati mwaka jana walipofungwa na Chelsea kwenye mikwaju ya penati.

Top of the pile: Bayern Munich are the Champions of Europe for a fifth time after beating Borussia Dortmund
Top of the pile: Bayern Munich are the Champions of Europe for a fifth time after beating Borussia Dortmund

Top of the pile: Bayern Munich are the Champions of Europe for a fifth time after beating Borussia Dortmund
Top of the pile: Bayern Munich are the Champions of Europe for a fifth time after beating Borussia Dortmund Bayern Munich ni mabingwa baada ya kuwafunga Borussia Dortmund Arjen Robben ameipatia bao la ushindi timu yake ya Bayern Munich bao la dakika za Majeruhi dakika ya 89 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ambao umefika kilele leo kwa kuzikutanisha fainali timu za Ujerumani Bayern Munich na Borussia Dortmund. Bayern Munich ndiyo iliyoanza kufunga bao dakika ya 60 kupitia mchezaji wao MandzukicBaadaye Borrussia wakapata penati na mkwaju huo kuingia nyavuni kwa kufungwa na Gundogan dakika ya 67. Mchezo uliochezwa uwanja wa Wembley jijini London, Uingereza. Hii ilikuwa ni fainali ya kwanza kabisa kuwahi kuzileta pamoja timu mbili za Bundesliga katika historia ya michuano hiyo mikubwa kabisa ya vilabu barani humo. Pia mchezo huu kipindi cha kwanza kila timu iliweza kujikwamua kutofungwa baada ya makipa wote wawili kuonesha jitihada za uzoefu kwa kuzuia mipira ambayo ilikuwa inatolewa kwa mbinde mbinde kila mara, huku mpaka kipindi cha kwanza kikimaliza bila ya kufungana.
Kwa Bayern, hii ilikuwa ni fursa ya kujikomboa kutokana na machungu waliyopata katika vichapo vya fainali za mwaka wa 2010 na hasa mwaka wa 2012 wakati walipofungwa na Chelsea kwa changamoto ya mikwaju ya penati, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena.


Mashabiki wakishangilia uwanjani Wembley na hapa waliongeza ushabiki baada ya kuona timu zote zimeenda mapumziko zikiwa 0-0

Mashabiki uwanjani Wembley

Viongozi mbalimbali


Hii ilikuwa kabla ya mtanange kuanza

Ubunifu huo
Raha za mashabiki uwanjani hapo

Kipa Manuel Neuer akizuia pasi nje ya Robert Lewandowski

Robben akipiga mpira na kuzuiwa na kipa kwa kumgonja usoni..


Franck Ribery akimenyana na Lewandowski
Kazi ipo hapa...!


Robben akipitisha mpira chini kumpa Mario Mandzukic kufunga bao kipindi cha pili



Bao...

Dante akimkanyaga vibaya mchezaji wa Dortmund na hatimaye kushinda penati hiyo na kufanya 1-1
Mwamuzi Nicola Rizzoli akionesha mpira utengwe

Penati ikichongwa
VIKOSI:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Piszczek, Subotic, Hummels, Schmelzer, Bender (Sahin 90+1), Gundogan, Blaszczykowski (Schieber 90+1), Reus, Grosskreutz, Lewandowski. Subs not used: Langerak, Kehl, Leitner, Kirch, Felipe Santana.
Booked: Grosskreutz
Goals: Gundogan 67 (pen).
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller, Ribery (Gustavo 90+1), Mandzukic (Gomez 90+4).
Subs not used: Starke, Van Buyten, Shaqiri, Pizarro, Tymoschuk.
Booked: Date, Ribery
Goals: Mandzukic 60, Robben 89.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)

No comments:

Post a Comment