Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita. |
Be careful with the dressing code when it comes to cameras.... oh oh.
ReplyDelete