Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC) (waliovaa kijani) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Umoja water lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni |
|
|
Kocha wa timu ya Shirika la Nyumba (katikati aliyevaa miwani) Almas Kasongo akizungumza na wachezaji wakati wa mapumziko |
Timu ya Umoja water |
Mchezaji wa Timu ya Castle lager (aliyevaa red) akiwatoka wachezaji wa timu ya Clouds (blue) kwenye mchezo wa bonanza la makapuni Leaders Club jana |
Mchezaji wa CRBD (green) akiachia shuti huku mchezaji wa NMB akijaribu kuzuia kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club |
CRBD (green) na NMB (white) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club |
Mchezaji wa vodacom aliyeko chini akiuangalia mpira kwenye bonanza la makapuni lililofanyika jana Leaders Club |
Vodacom timu |
Simbanet (white) wakipambana na Clouds (blue) |
Fast jest (black and yellow) wakionyeshana kazi na castle lager (red) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jana |
No comments:
Post a Comment