Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, May 2, 2013

BONANZA LA MAKAMPUNI LEADERS CLUB LAFANA, SHIRIKA LA NYUMBA LAONYESHA KANDANDA SAFI LICHA YA KUONDOLEWA KWENYE HATUA ZA AWALI

Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC)  (waliovaa kijani) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Umoja water lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni

Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC)  (waliovaa kijani na bips juu) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Shirika la Taifa la Mfuko wa Pensheni (NSSF) (waliovaa kijana) lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni
Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC)  (waliovaa kijani) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Umoja water lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni

Wachezaji wa timu ya Shirika la nyumba (NHC)  (waliovaa kijani) wakipambana kwenye mchezo dhidi ya timu ya Umoja water lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni

Kocha wa timu ya Shirika la Nyumba (katikati aliyevaa miwani) Almas Kasongo akizungumza na wachezaji wakati wa mapumziko 

Timu ya Umoja water

Mchezaji wa Timu ya Castle lager (aliyevaa red) akiwatoka wachezaji wa timu ya Clouds (blue) kwenye mchezo wa bonanza la makapuni Leaders Club jana

Mchezaji wa CRBD (green) akiachia shuti huku mchezaji wa NMB akijaribu kuzuia kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club

 CRBD (green) na  NMB (white) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika jana Leaders Club

Mchezaji wa vodacom aliyeko chini akiuangalia mpira kwenye bonanza la makapuni lililofanyika jana Leaders Club

Vodacom timu

Simbanet (white) wakipambana na Clouds (blue)

Fast jest (black and yellow) wakionyeshana kazi na castle lager (red) kwenye bonanza la makampuni lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jana

No comments:

Post a Comment