Kocha wa Gunners mapeema akiangalia vizuri uwanja wa St James' Park Arsenal leo wakicheza mechi ya kufunga msimu huu uliomalizika leo kwa kukamilisha mechi ya 38 na huku wakicheza kwa kujituma na kuhakikisha wanabaki kwenye nafasi ya 4 bora na hatimaye kucheza Uefa Champions League na kufanikiwa kuifunga Newcastle bao 1-0 timu iliyokuwa nyumbani na inayokamata nafasi ya 16 kwenye msimao na yenye alama 41.ushindi huu wa Arsenal unaifanya timu hiyo kuanza hatua ya Raundi ya Mchujo na ikifuzu itaingia Makundi. Huku Spurs iliyoshika nafasi ya 5 itacheza EUROPA LIGI kuanzia Hatua ya Mchujo. Bao hilo la pekee limefungwa na Laurent Koscielny dakika ya 52 kipindi cha pili baada ya kupiga mpira na kipa kuumalizia nyavuni ukitokea kona.Kuitwa Kocha siyo kazi ndogo...
Kocha Arsene Wenger na kocha Newcastle Alan Pardew
wakiangalia vijana wao wakimenyana vilivyo leo Kipa wa Newcastle akitoa maelekezo kulinda ngome yao isije
ikapwaya au kulegea.
Mathieu Debuchy akimzuia asilete shida Aaron Ramsey wa Arsenal
Tajiri na mwenye timu ya Newcastle Bw. Mike Ashley
Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akifurahia bao hilo ambalo limedumu mpaka dakika za mwisho
Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Koscielny baada ya kuipachikia bao
Laurent Koscielny akishangilia.
VIKOSI: Newcastle: Harper, Debuchy, Steven Taylor, Coloccini, Yanga-Mbiwa (Campbell 81), Ben Arfa, Cabaye (Anita 57), Tiote, Gutierrez, Gouffran (Marveaux 64), Cisse.
Subs not used: Alnwick, Simpson, Perch, Obertan.
Booked: Gutierrez.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Ramsey, Arteta (Oxlade-Chamberlain 28), Walcott, Rosicky, Cazorla, Podolski (Giroud 78).
Subs not used: Fabianski, Vermaelen, Wilshere, Gervinho, Monreal.
Booked: Rosicky.
Goal: Koscielny 52.
Referee: Howard Webb (S Yorkshire)
Attendance: 52,354.

No comments:
Post a Comment