Pages

Wednesday, April 3, 2013

REAL MADRID NA GALATASARAY 3-0 NA MALAGA NA BORUSSIA DORTMUND 0-0, UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Cristiano Ronaldo akitupia nyavuni usiku huu.
Cristiano Roanldo (kulia)akishangilia na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza

Karim Benzema akiiwasha Galatasaray bao la pili na kufanya Real Madrid 2-0 dhidi ya Galatasaray 0

Karim Benzema akishangilia baada ya kuipatia timu yake bao la pili.

Mashabiki wa Glalatasaray wakiwasha moto ndani ya Bernabeu na huku wakiwa wanaendelea kufungwa

Gonzalo Higuain celebrates after heading home for Real Madrid's third goalGonzalo Higuain naye akapata nafasi ya kufunga hapa ..akatupia bao la 3 na la mwisho.
Wakiwa kwao Bernabeu, Real Madrid wameifunga Galatasaray bao 3-0 magoli yaliyofungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 9 baada ya kuwatoka mabeki wa Galatasaray na kuanza kwa kuifungia timu yake bao.
Dakika ya 29 mchezaji Karim Benzema akawapatia bao la pili na bao la mwisho la tatu limefungwa na Gonzalo HiguaĆ­.Licha ya kushinda Real Madrid pia wamekosa kosa mabao mengi ya kufunga kwenye goli la Galatasaray na  pia wao Galatasaray wameweza kukosa kosa mabao kadhaa kwenye goli la Real.


Malaga 0 vs Borussia Dortmund 0

Malaga na Borussia Dortmund wametoshana nguvu usiku huu kwa kutofungana katika dakika zote 90. Malaga wakiongoza kwa kupewa kadi 3 za njano na moja kwa Borussia Dortmun. Malaga wao wamecheza kulinda wasifungiwe kwao na pamoja na timu hiyo kukoswa koswa tangu dakika za mwamzo..Wachezaji wa Malaga wamecheza kwa kujituma sana na hatimaye mpira kuisha 0-0.
On the back foot: Borussia Dortmund's Felipe Santana reaches for the ball
Mchezaji wa Borussia Dortmund Felipe Santana akipambana kuokoa mpira mbele yake Collision course: Dortmund's Kevin Grosskreutz was booked for a sliding tackle on Malaga's Jesus Gamez
Composed: Borussia Dortmund boss Jurgen Klopp looks on from the touchline at La Rosaleda
Kocha wa Borussia Dortmund Jurgen Klopp akicheki vijana wake wakimenyana na Malaga kwenye kiwanja Malaga La Rosaleda

Leo Jumatano Aprili 3 
RATIBA/MATOKEO 
Malaga 0 vs Borussia Dortmund 0
Real Madrid 3 vs Galatasaray 0
MARUDIANO
Jumanne Aprili 9 
Galatasaray v Real Madrid
Borussia Dortmund v Malaga
Jumatano Aprili 10
Barcelona v Paris Saint Germain
Juventus v Bayern Munich

NUSU FAINALI 
Mechi ya 1: Tarehe 23 na 24 Aprili 2013
Mechi ya 2: Tarehe 30 Aprili na 1 Mei 2013 

FAINALI 
25 Mei 2013 
UWANJA WA WEMBLEY, LONDON

No comments:

Post a Comment