Pages

Sunday, April 7, 2013

MEDIA DAY ILIVYOFANA


Mfungaji wa BTL, Queens, Sharifa Mustafa akimiliki mpira wakati wa mchezo wao dhidi ya Free Media Queens. Katikati ni Vai Chandy. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wachezaji wa timu ya Bloggers FC wakiingia uwanjani kupambana na Jambo Leo
Wachezaji wa Free Media wakibadilishana mawazo.
Mshambuliaji wa Bloggers FC, Saleh Ally akichuana na beki wa Radio Maria, Frednando Mussa.
Mshambuliaji wa timu ya Bloggers FC, Majuto Omari akiwatoka mabeki wa Radio Maria. 
Extra Bongo ikinogesha tamasha hilo.
Sharifa Mustapha wa BTL Queens akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Free Media Queens Andrew.
Beki wa Bloggers FC, Muhidini Sufian akiwa amebebwa juju juu na wachezaji wa wenzake baada ya kuitandika DSJ 3-2
Kocha wa timu ya Bloggers FC Ankal akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Nyota wa mchezo kati ya Bloggers FC na DSJ, Othman Michuzi akishangilia ushindi wa timu yake baada ya kuichapa DSJ 3-2
Wanenguaji wa Extra Bongo wakionesha manjonjo yao.
Kikosi kamili cha Bloggers FC kikiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment