Pages

Friday, April 5, 2013

MANCHESTER CITY YAMFUNGA YAYA TOURE MIAKA MINNE, KIFUNGO CHAKE KUMALIZIKA 2017


Kiungo wa Manchester City Yaya Toure amesaini Mkataba mpya wa Miaka minne utakaomweka Klabuni hapo hadi Mwaka 2017. 

Toure, mwenye Miaka 29, amekuwa nguzo kubwa kwa Man City tangu ajiunge hapo Mwaka 2010 kwa Dau la Milioni 24 akitokea Barcelona.
Katika Msimu wake wa kwa kwanza na City, Klabu hiyo ilitwaa FA CUP Mwaka 2011 na Mwaka uliofuatia walitwaa Ubingwa wa England.
Pia Toure ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika kwa Miaka ya 2011 na 2012.
Baada ya kusaini Dili hii mpya, Toure alitamka: “Hapa ndipo ninapotaka kuwepo! Nilipotua City kwa mara ya kwanza, kila nikilala nilikuwa naota sisi tumetwaa Taji fulani! Sasa ni zamu yetu kuwa bora katika kila Mashindano tunayoshiriki!”
Yaya Toure akimkumbatia Begiristain baada ya kusaini mkataba mpya leo hii.
The deal is done! Yaya Toure on his phone at Carrington today as he agreed a new four-year contract at Manchester City worth around £45m
Dili tayari.....Yaya Toure kwenye simu eneo la Carrington leo hii baada ya kuambiwa aende kumwaga wino kwa miaka minne na Man City hadi 2017 kwa £45m Happy: Toure has committed himself to City for another four years despite Man United looking likely to snatch the title back this season
Yaya Toure amekubali mwenyewe kuendelea kuichezea Citykwa miaka minne
The wait is over: Toure was instrumental in City's FA Cup success of 2011, which ended a trophy drought of 35 years
Yaya Toure enzi za mwaka 2011 akiwa amebeba ndoo ya kombe la FA Cup lililowaondolea ukame wa miaka 35

No comments:

Post a Comment