Pages

Wednesday, April 24, 2013

LUIS SUAREZ AFUNGIWA MECHI 10 NA "FA"


Luis Suarez Hatacheza mpira mpaka msimu huu uishe na ataweza kuendelea kucheza mpaka mwezi September baada ya Chama cha   soka nchini Uingereza FA kumfungia mechi 10 kwa makosa ya kumg'ata beki wa Chelsea Branislav Ivanovic.
Straika huyo wa Liverpool amekubali adhabu hiyo kutoka kwenye chama cha FA, FA imesema mwamuzi wa mchezo huo hakukiona kitendo hicho uwanjani lakini marejeo ya picha za mchezo huo zilionyesha Suarez alimng'ata Ivanovic, kitendo ambacho kinachukuliwa kama vurugu mchezoni na adhabu yake amefungiwa mechi 10.
I'm back: Luis Suarez returned to training today while the FA deliberated over his punishment for biting
Pamoja na Luis Suarez kupewa adhabu hiyo leo ameonekana akifanya mazoezi.
Pia na Mkurugenzi wa Liverpool Ian Ayre ameizungumzia hiyo kuwa ameshtushwa na kuchukizwa na kitendo hicho cha kitukutu na klabu yake ya Liverpool inasubiri kumpa adhabu baada ya yeye kutoa sababu za kitendo hicho kwa maandishi hapo kesho.
tasty: The bizarre clash was missed by referee Kevin Friend, who had to be told the specifics by Ivanovic
Ivanovic akimweleza refa Kelvin Friend wa mchezo huo kuwa katendewa ndivyo sivyo.... kawekewa meno na Suarez!!
tasty: The bizarre clash was missed by referee Kevin Friend, who had to be told the specifics by Ivanovic

No comments:

Post a Comment