Pages

Sunday, April 21, 2013

Di CANIO AZIDI KUIPAISHA SUNDERLAND JUU, APANIA KUFANYA VIZURI MECHI ZOTE ZILIZOBAKI BAADA YA KUWAFUNGA EVERTON NA KUWEKA HISTORIA!!


Paolo Di CanioLigi kuu soka nchini England imeendelea wikiendi hii kwa michezo saba kufanyika jumamosi ya Jana ambapo ilikuwa ni jumamosi ngumu kwa timu nyingi. 
Star: Di Canio's two wins have moved Sunderland six points clear of the relegation zoneHati hati ya kushuka daraja kwa timu tatu zinazoburuza mkia kwenye msimamo wa ligi ndo ilikuwa hadithi iliyotawala vichwa mbalimbali vya habari nchini Uingereza.Get in: Sunderland manager Paolo Di Canio celebrates at the final whistle
Lakini Sunderland baada ya kuwatandika watani zao wa jadi Newcastle wikiendi iliyopita kwa mabao 3-0, Jana walikuwa nyumbani kwenye viunga vya Stadium of Light kuwakaribisha Everton.
Knees up: Adam Johnson congratulates the goalscorer
Kwa mara nyingine, Kocha muitaliano Paulo Di Canio aliendelea kuwapa furaha mashabiki wa Sunderland baada ya kuiongoza timu hiyo kupata ushindi wa pili mfululizo dhidi ya Everton.

Stephane Sessegnon ndiye alikuwa shujaa wa jana,ambaye alifunga bao la pekee kwa Sunderland kwa shuti kali lililoshindwa kudakwa na Tim Howard mlinda mlango wa Everton, Dakika chache kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika.

Hii imekuwa mara ya kwanza kwa Sundeland kuifunga Everton tangu mwaka 2001 kwenye ligi kuu soka nchini England ambapo mara ya mwisho ilikuwa miaka 12 iliyopita katika msimu wa ligi ambayo Di Canio alikuwa mchezaji wa West Ham United.Polar opposites: The two managers react in very different ways to the Sunderland goalMsimu huo wa 2001,Di Canio alifanya kitendo ambacho kilimpa tuzo maalumu ya uchezaji wa kiungwana ama Fair Play Award baada ya kuudaka mpira akiwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga na kumuonyesha mwamuzi kuwa golikipa wa Everton Paul Gerrard alikuwa ameumia.

Matokeo hayo yanaifanya Sunderland kupanda hadi nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 37, lakini kocha Di Canio anasema bado timu hiyo ipo kwenye wakati mgumu na anahitaji kuona anapata ushindi kwenye michezo yote iliyosalia.
Secrets: Di Canio gives out some special advice
Di Canioakimpasha kitu sikioni mchezaji wake Sessegnon wakati anajiandaa kuingia kukamua
Fluffy side up: Marouane Fellaini using his bulk to his example
Marouane Fellaini kwenye patashika jana jioni.
Smashed: Seamus Coleman challenges James McClean in the air
Seamus Coleman akichuana na James McCleanj uu kwa juu
Battle: Colback and Pienaar get to grips with each other in the middle of the pitch
Colback na Pienaar wakichuana kuugombea mpira
Saviour? Di Canio never has been one for small emotions
Di Canioakiendeleza majanga kwa Everton
Glorious moment: A Sunderland fan holds up a shirt commemorating to derby victory last weekend
Mashabiki wa Sunderland wakinyoosha jezi ya Di Canio, kumbuka kocha huyu mpya wa Sunderland alikuwa mchezaji miaka ya 2001 wa klabu ya West Ham United enzi hizo.
Show of faith: Paolo di Canio seems to have made plenty of supporters happy
Mashabiki wa Sunderland wakionesha love za ukweli kwa kocha wao mpya Paolo di Canio baada ya kuwapa ushindi wa mara ya pili na wa utamu kweli kweli. Ambapo amewawezesha kupanda juu na kuwa nafasi ya 14 wakiwa na alama 37 na mchezo wa 34 na kubakiza mitanange 4. bukobasports.com inakupongeza Di Canio!!Italian champion: Sunderland fans seemed fairly happy after last week's win over Newcastle
Yo

No comments:

Post a Comment