Pages

Tuesday, April 16, 2013

CLUB AQ DANCE COMPETITION NA GNAKO KUFANYIKA JUMAMOSI APRILI 20


Club AQ Dance Competition na Gnako... kufanyika Jumamosi Aprili 20


Mdau wa burudani Njoo ushuhudie mashindano haya ujipatie bidhaa toka Konyagi kwa nusu bei pamoja na maji ya kunywa bure toka Sodaking saa mbili jioni hadi majogoo!!! katika shindano la kucheza Muziki "AQ Dance Competition" litakalofanyika Club Aquiline Arusha likisimamiwa na GNAKO kama Mc siku ya Jumamosi tarehe 20 Mwezi huu ambapo Kiingilio kitakuwa ni 5000/- tu mlangoni.

Washiriki wote wajiandikishe mapema kupitia simu nambari 0764960960 au 0655364409kujipatia nafasi ya kushinda Zawadi kabambe ya shilingi Laki Tano, Malazi katika LushGarden Hotel,VIP Card ya Club AQ pamoja na Tshirts..

"AQ DANCE COMPETIOTION" inaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Hotel Aquiline, Konyagi, SodaKing, Lush Garden Hotel na Noizmekah Production Studios....

No comments:

Post a Comment