Pages

Sunday, April 7, 2013

ARSENAL YAIFUNGA WEST BROMWICH 2-1, THOMAS ROSICKY ATUPIA 2 MWENYEWE, AIPAISHA GUNNERS TOP 4


Mchezaji namba 7 mgongoni na raia wa Czech Republic na mwenye urefu 5' 8'' (1.73m) na 150 lbs (67.9 kg)Tomas Rosicky Ndiye aliyeipandisha leo Gunners nafasi ya nne wakiwa na Alama 56 juu ya Chelsea wenye alama 55 amabao wanacheza kesho nyumbani kwao Darajani na Sunderland. Bao za Gunners zimefungwa dakika ya 20 na 50 huku West Bromwich Albion wakipata bao la pekee la mkwaju wa penati dakika ya 71 kupitia mchezaji wao James Morriso. 

Mchezaji wa zamani wa Borussia Dortmund Tomas Rosicky leo ndiye aliyewapa raha gunners baada ya kuwapatia ushindi na kuwaweka nafasi ya 4 bora wakiwa na alama 56.

Rosicky akitupia bao hapa na kuwapa ushindi Arsenal

Mchezaji Tomas Rosicky akipiga mpira kwa kichwa kabla ajawafungia Arsenal na kuipatia ushindi jioni hii. Gunners wameshinda 2-1 na kupanda hadi nafasi ya nne wakiwa na alama 56 juu ya Chelsea watakao cheza kesho na Sunderland saa 11.00 jioni.

Mchezaji wa West Bromwich Albion Jerome Thomas (kushoto) akipambana na Bacary Sagna

Arsenal leo wapepanda nafasi ya nne baada ya kuifunga West Browwich bao 2-1, Bao zilizofungwa na mchezaji wao Tomas Rosicky dakika ya 20 na dakika ya 50. Pongezi kwao Gunners!!


MSIMAMO WA TIMU NNE ZA JUU. 
2012-2013 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1Manchester United3025237031
14013915
11223116
3977
2Manchester City3018845526
11313511
7532015
2962
3Tottenham Hotspur3117685338
8432215
9253123
1557
4Arsenal3116876133
9333920
7542213
2856

No comments:

Post a Comment