Pages
▼
Thursday, March 28, 2013
WEMA SEPETU AFANANISHWA NA MALKIA WA NYUKI NI BAADA YA KUMWOKOA KAJALA KAMA MALKIA WA NYUKI ALIVYOIOKOA SIMBA KWA CIRCOVIC
Mrembo Wema Sepetu baada ya juzi vichwa vya habari kumwandika baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja aliyehukumiwa jana kwenda jela miaka mitano ama kulipa kiasi hicho cha fedha.
“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,” amesema Wema.
“Nimefanya kama namsaidia rafiki yangu kama namsaidia ndugu yangu na sidhani kama ingekuwa ni kitu kizuri kumuona mwenzako anaingia kwenye matatizo, kwenye tabu, kwenye mateso na wakati nina uwezo wa kumsaidia kwa hiyo I just did what I had to do.”
Kuachiwa kwa Kajala kulipokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini na baadhi ya waliotoa maoni yao juu ya tukio hili alilolifanya Wema wamesema Wema ndio malkia wa Bongo Movie wakimfananisha na malkia wa nyuki wa Simba sports Club alipojitolea kuilipia Simba deni la mishahara ya kocha waliyemfuza
No comments:
Post a Comment