Pages

Sunday, February 3, 2013

MAKONDE YA NGUMI ZA YAMALIZIKA BINGWA WA JUMLA NI JKT WAKIFUATIWA NA NGOME.

Mabondia wa timu ya JKT Makao Makuu kutoka kushoto ni Ismail Gaitano,Hmidu Alfani,Khamis Husein na Wambura Amiri klabla.
Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K,o raundi ya kwanza.
Meja kiungu wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo.
Mwandishi Zainabu Kiluwale katika akiwa na katibu wa BFT Makore Mashaga na Rais chama cha ngumi za kulipwa TPBO Yasin Abdalah Ostadhi.
Wakati mwingine mwalimu analazimika kutoa maelezo ya ziada ulingoni mambo yanapo kwenda kombo.
Mwamuzi anamuhesabia bondia baada ya kuzidiwa na mpinzani wake.
Meja Kiungu akizikagua timu shiriki.
Yasin Abdalah Ostadhi akizikagua timu shiriki nyuma ya mgeni rasmi meja kiungu.

No comments:

Post a Comment