Pages

Thursday, February 21, 2013

LIONEL MESSI AANZA KUTUMIA VIATU VYAKE VIPYA VYA ADIDAS F50s

 


 
Red alert: Messi was heavily involved in all aspects of the boots design - which are dominated by his favourite colour, red Making his mark: The red stud on the sole is to symbolise Messi as part of a team
 
Hivi ni viatu vipya vya Lionel Mess vilivosainiwa na Messi mwenyewe vikitengenezwa na ajili ya mchezaji huyo bora wa dunia ambavyo vitaanza kutumika katikati ya majira ya baridi na kiangazi .
Mpaka kufikia wakati huo itakuwa tayari vimechelewa kuonekana katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya.
Nyota huyo raia wa Argentina hakuwa na usiku mzuri usiku wa jana pale aliposhuhudia timu ya Barcelona ikichapwa 2-0 na AC Malan ya Italia mchezo wa hatua ya 16 bora ya vilabu bingwa barani Ulaya mchezo uliochezwa katika dimba la San Siro.
Matokeo hayo yanawataka Barca kubadilisha upepo wa deni la mabao mawili dhidi ya kigogo hicho cha nchini Italia katika mchezo utakaopigwa Machi 12 katika dimba la Nou Camp.
Boot room: Lionel Messi has unveiled his new signature range of adidas F50s
Lionel Messi amezindua kwa kuweka saini viatu vyake vipya vya adidas F50s.
 
Sinking feeling: Dejected Messi (centre) has his head down as AC Milan celebrate their 2-0 win over Barca
Messi (katikati) akiinamisha kichwa baada ya Barca kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa AC Milan.
Inaelezwa kuwa Messi anaweza kutaka watengenezaji wa viatu hivyo kampuni ya adidas wamfungie mapema njumu za viatu hivyo kuliko ilivyopangwa ili aweze kuvitumia katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya kabla ya safari ya fainali itakayopigwa katika dimba la Wembley haijafikia ukingoni.
Viatu hivyo vinafananishwa na 'adizero F50s' ambavyo Messi amekuwa akivaa msimu mzima sikuwa kunatofauti ndogo ndogo za kimaboresho.
Namna ambavyo vilivyo fumwa kwa mujibu wa kiwanda hicho kikubwa cha Kijerumani ni kwamba vimetengenezwa kwa kuangalia hadhi ya Messi na 'filosofia yake ya kiuchezaji' ambapo pia kuna saini ya Messi na logo ambayo iliwekwa wazi mwaka jana.
Rangi ni mchanganyiko wa wekundu na weupe ambazo ni rangi zinazopendwa na Messi mwenyewe ikiwa ni ishara ya hatari kubwa anayo ifanya anapokuwa uwanjani wakati rangi nyeupe ina beba maana ya wepesi na kasi.
Viatu hivyo pia vitakuwa na njumu moja ra rangi nyekundu ambayo ina maana ya uwakilishi wake katika timu.
 
Art attack: The design sketch of Messi's new bootsMessi amehusishwa kwa sehemu kubwa katika maendeleo ya muondo wa viatu hivyo ambavyo vimefanyiwa majaribio mara 10 kabla ya ukamilifu wake.
Viatu hivi vimezingati pia juu kujenga wepesi ambapo vinauzito mzuri wa wa grame 165g, ambapo vinakuwa viatu vyepesi zaidi katika soko.
Tried and tested: Messi puts his new boots to good use but will not officially debut them until the Spring
Messi akiwa amevalia viatu kwa matumizi lakini vitazinduliwa mapema baadaye.Hands on: The world's best footballer has been honoured by boot suppliers adidas with his own signature range
Plenty to ponder: Messi will be hoping his new boots can keep him on track for more trophies
Messi anataraji kuwa akiwa na viatu hivi basi itakuwa kazi nyepesi kutwaa mataji.

No comments:

Post a Comment