Pages

Friday, January 11, 2013

TUSKER FC YA KENYA KUCHEZA FAINALI YA MAPINDUZI CUP NA AZAM FC, NI BAADA YA KUIFUNGA MIEMBENI 2-0

Fainali ya Mapinduzi Cup ni Tusker na Azam FC
Timu ya Miembeni kutoka Zanzibar imepokea kichapo cha bao 2-0 toka kwa Timu kutoka Kenya, Tusker FC.
Mabao ya Luke Ochieng na Jesse katika kipindi cha pili, yalitosha kabisa kuondoa Sherehe ya Mapinduzi kwa wenyeji Miembeni.
Sasa Tusker watakutana na Mabingwa Watetezi wa kombe hilo, Azam FC kutoka Tanzania Bara tarehe 12 mwezi huu.
Azam ilifanikiwa kuingia katika hatua ya Fainali baada ya kuitoa Simba kwa mikwaju ya Penati.

No comments:

Post a Comment