Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Frends Corner Manzese |
No comments:
Post a Comment