Pages

Friday, January 18, 2013

SUPERIOR FINANCING SOLUTIONS LTD NA MAD MAD ENTERTAINMENT YA LONDON KUWAPA SHAVU WASANII WA BONGO MUVI

 



Msanii wa Filamu na Vichekesho, Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere (kulia), akitoa utambulisho wakati wa mkutano na waandishi wa habari ambapo kampuni za Superior Financing Solutions Ltd na Mad Mad Entertainment ya London nchini Uingereza, zilipotangaza programu maalum ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo kuigiza nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini.PICHA NA JOHN BADI

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mad Mad Entertainment ya London nchini Uingereza, Yasmin Razak akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu programu maalum aliyoianzisha ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo kuigiza nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini.Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Superior Financing Solutions Ltd wadhamini wa programu hiyo, Isaack Kasanga na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba (wa pili kushoto), na Msanii wa Filamu na Vichekesho, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.

No comments:

Post a Comment