Pages

Saturday, January 26, 2013

MABONDIA WATAMBIANA BAADA YA KUPIMA UZITO, KUKIPIGA KESHO UKUMBI WA CCM TANDALE

Bondia Antony Mathias (kushoto) akitunishiana misuri na Fadhili Majia baada ya kupima uzito, Dar es salaam kwa ajili ya mpambo wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa CCM Tandare.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Antony Mathias (kushoto) akitunishiana misuri na Fadhili Majia baada ya kupima uzito, Dar es salaam kwa ajili ya mpambo wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa CCM Tandare.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Mabondia Hassan Mandulla na Jems Martin wanatarajia kupanda ulingoni  kesho Januari 27, mwaka huu  katika ukumbi wa wa CCM Tandale Dar es salaam.

Akizungumzia mpambano huo mwandaaji Waziri Rosta
amesema mabondia wote wamepima uzito pamoja na kujua Afya zao, pia  kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi yakiwemo ya mabondia maarufu na chipukizi.

Mapambano ya utangulizi ni Fadhiri Majia na Anton Matiasi mpambano mwingine utamkutanisha Kalama Nyilawila atakayezidunda na Athumani Pendeza mpambano wa raundi nane. Kalama anapanda ulingoni baada ya mpambano wake wa mwisho kupoteza kwa K,O raundi ya sita na Francis Cheka

michezo mingine ni Shabani Kilumbelumbe na Mwaite Juma na Chaeles Mashali atavaana na Adam Ngange, Julias Noro atapambana na Abdallah Luwaje mpambano mwingine utawakutanisha Rajabu Tumaini na Daudi Anton na Rashid Mohamed Atavaana na Eliman Richard wakati Rashid Hamisi atamvaa Omary Shabani

No comments:

Post a Comment