Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya
Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais),
Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake),
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa
wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam
leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti
wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku
Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa
Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia bada ya mkutano wa
na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu
ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa
Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw.
John Farnan Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya
Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short, Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo
Bw. David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan,
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa
wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam
leo.
No comments:
Post a Comment