Pages

Tuesday, December 4, 2012

MSHINDI WA MAISHA PLUS SEASONS3 AKABIDHIWA KITITA CHAKE LEO

Meneja wa Tawi la NMB, Makao Makuu Benadicta Byabato akimkabidhi mshindi wa maisha plus seasons3  Bernick Kimiro milioni 20 leo kwenye ofisi za benki yake leo

Bernick Kimiro akiwa amekumbatia milioni 20 zake alizozisotea maisha plus seasons3

Bernick Kimiro akiwa na kaka yake Abdulazizi Abasi wakifurahia mshiko


Bernick Kimiro akiwa na Abdulazizi Abasi (kaka yake) na Rachel Ndauka (rafiki yake) wakifurahia mkwanja

Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro

Bernick Kimiro akikabidhiwa mkwanja wake na Francis Bonda (kushoto) na David Sevuri (kulia0



Bernick Kimiro akiwa ndani ya moja ya ofisi za NMB kusubiri kukabidhiwa mkwanja wake

Rahma Masoud akimpa  Bernick Kimiromaelezo ya jinsi ya kufungua akaunti

Bernick Kimiro akijaza jinsi  fomu ya kufungua akaunti  na huku Mfanyakazi wa NMB Rahma Masoud akifuatilia kwa makini

Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku Abdulazizi Abasi (kaka yake) akifuatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment