Pages

Friday, November 16, 2012

KOZI YA UKOCHA TEMEKE YAFIKIA SIKU YA TANO

KOZI ya awali ya makocha inayoendelea kwenye uwanja wa harbours club Kurasini chini ya TEFA ikisimamiwa na Kenedy Mwaisabula ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Chama cha Mpira wa Miguu wilaya ya Temeke leo imefika siku ya tano na ina washiriki 40 wakiwepo wachezaji maarufu wa zamani kama Moses Mkandawile, Steven Nemes, Ben Mwalala, Steven Nyenge, Bita John, Zuberi Katwila, Hassan Ahmed, Jemaderi Said na wengine wengine.
Pia wapo wachezaji ambao bado wanacheza,  Shedrack Nsajigwa.

Kozi hii itakuwa ya siku 10 na inatamalizika  Novemba 22, na inatarajiwa kufungwa na Rais wa TFF. Zifuatazo ni






No comments:

Post a Comment