Pages

Tuesday, October 23, 2012

VITAMBULISHO FAINALI ZA AFCON 2013 MWISHO NOV 7


Waandishi wa Habari wanaotaka kuripoti fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini wanatakiwa kutuma maombi ya kupatiwa vitambulisho (Accreditation) kabla ya Novemba 7 mwaka huu.
 
Kazi kwenu vyomba vya habari vya Tanzania kuhakikisha mnawapasha watanzania habari motomoto zinazojiri AFCON kwa kutuma waandishi wa habari.
 

No comments:

Post a Comment