Pages

Saturday, October 6, 2012

SERENGETI BOYS YAVUNJA KAMBI KWA KUFUNGA YANGA 2-0

Add caption


Kikosi cha timu ya vinana ya U-17 Serengeti boys


Timu ya Taifa ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17 wamevunja kambi kwa kuifunga Yanga B bao 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Serengeti boys ambayo imevunja kambi kwa wiki mbili baada ya kufuzu raundi ya pili ya mashindano y vijana baada ya Misri kujitoa imejipatia mabao yake dk ya 3 kupitia kwa Faridi Shah na dk 60 kupitia kwa Kelvin Manyika.
Yanga B ambayo ilikimbizwa dk zote 90 mbele ya mshambuliaji wao kinda Simon Msuva ambaye anacheza timu ya Taifa ya U-20 Ngorongoro ilijikuta inaambulia kipigo cha 2-0

No comments:

Post a Comment