Pages

Monday, September 17, 2012

YANGA YAJIPANGA KWA MTIBWA

Kocha Tom Saintfiet wa Yanga akizungumza na wachezaji baada ya mazoezi leo asubuhi uwanja wa Loyola


Wachezaji wa Yanga na kocha wao Tom Saintfiet wakishangilia na mfano wa kombe baada ya kushinda mechi zote walizokuwa wanacheza wachezaji watano watano wakati wa mazoezi uwanja wa Loyola leo asubuhi


Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo asubuhi uwanja wa Loyola Mabibo jijini Dar es salaam kwa maandalizi ya mechi ya Mtibwa jumatano Jamhuri Morogoro

No comments:

Post a Comment