Pages

Thursday, September 27, 2012

SIMBA YAONGOZA LIGI

Mshambuliaji wa Simba Chrispher Edward akiwatoka wachezaji waRuvu shooting

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao

Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba Daniel Akuffo akijaribu kumtoka beki wa Ruvu shooting

Amri Kiemba akiruka side tacling aliyocheza mchezaji wa Ruvu shooting 






Timu ya Simba ilishida mchezo wao wa tatu kwa kuichapa Ruvu shooting 2-1 na kufikisha pointi 9 kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.

African Lyon 2 vs 1 Prison  uwanja wa Chamazi Dar es salaam
Mgambo JKT 0 vs 1 Kagera Sugar Mkwakwani Tanga

No comments:

Post a Comment