Pages

Thursday, September 27, 2012

COASTAL YAIPUMULIA SIMBA

Timu ya Coastal Union ya Tanga jana iliwafunga wakata miwa wa Kagera Kagera Sugar bao 4-1 mchezo uliongurumishwa kwenye uwanja wa mkwakwani jijini Tanga
Coastal imefanya mauaji hayo na kufanikiwa kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba baada ya kocha Juma Mgunda na msaidizi Kondo kubwaga manyanga na timu kuchukuliwa na Juma Pondamali 'Mensa"


Kikosi cha Coastal Union

Mchezo mwingine ulikwa kati ya Polisi Moro 0 na 0 Toto African na kuifanya Polisi Moro kushika nafasi ya pili toka mwisho kwani wana pointi 2 tu na nafasi wa mwisho inshikiliwa na Mgambo JKT ambayo haina pointi

No comments:

Post a Comment